Powered By Blogger

Sunday 26 October 2014

HATARI INAYOTOKANA NA KUSUKUA MAGARI AMA PIKIPIKI KWA MAJI ISIYO SAFI



MAGONJWA YAFWATAYO YANAWEZA KUAMBUKIZWA KUPITIA KUSUKUWA MAGARI NA PIKIPIKI  KWA MAJI MACHAFU YANAYOCHANGANWA NA MAJI YA MAVI AO MAJI YA UCHAFU:
1. kuchochotwa ini  ama homa ya manjano ya kuambukiza ya aina A na E (hépatite A et E) 
2. Upele (gale)
3. Magonjwa ya ngozi (dermatoses)
4. Ugonjwa wa kupooza (polio)
5. Kifua kikuu (tuberculose)
6. Maleria ( paludisme)
7. Safura (ascaridiose)
8. Kichocho (bilharziose)
9. Homa ya uti wa mgongo (méningite)
10. Homa ya matumbo (Fievre thyphoïde)
11. Kipindupindu (Choléra)
12. Kuhara (diarrhée)
13. Na kadhalika
 
 
      MAJI MACHAFU YANAHATARISHA MAISHA YA WAPITA NJIA, MADEREVA, WASUKUWAJI,  NA ABIRIA (AMA  PASSAGERS) HATA NA FAMILIA. 
      KUSUKUA MAGARI NA MAJI MACHAFU KUNAWEZA KUDHURU AFYA NA MAZINGIRA NA KUNAWEZA HUKUMIWA NA SHERIA ULIMWENGUNI POTE KWA SABABU KUNAHATARISHA MAISHA YA WATU WENGI
   

No comments:

Post a Comment